Mipango ya tamasha la Lady Gaga Uingereza yazinduliwa
Iliyochapishwa
BBC imetangaza mipango yake ya kuonesha tamasha la Mwanamuziki Lady gaga pamoja na wanamuziki wengine watakaowatumbuiza watu wakiwa majumbani mwao kufuatia marufuku iliowekwa ya kudhibiti janga la virusi vya Corona. Wanamuziki nyota mbali mbali watashiriki pamoja na kuwa na mahojiano na wahudumu wa afya.