Densi ya Drake yatamba kwenye mtandao wa TikTok

Maelezo ya sauti, Densi ya Drake yatamba kwenye mtandao wa TikTok
Iliyochapishwa

Kufuatia janga la Corona mataifa mbali mbali yameweka sheria ya marufuku ya kutotoka nje ili kudhibiti kuenea kwa virusi hivyo .Mwanamuziki wa Rap Drake ametoa video ya wimbo wake mpya wa Tossie Slide akisakata densi ambayo imehamasisha densi mpya kwenye mtandao wa Tik Tok.