Ubaguzi wa rangi: ‘Je, Familia yangu itamkubali mpenzi wangu mweusi?’

Tumelo and Ithra
Iliyochapishwa

Tangu ubaguzi ulivyokoma na hata miaka kadhaa baadae kabla ya vijana wa Afrika Kusini walipokuwa huru kuwa na mpenzi yeyote anayetaka kuwa naye .

Lakini mahusiano ya kimapenzi ya kati ya watu weusi na watu wa asili ya bara la Asia yamekuwa ya nadra sana na kuwa yanahitaji wazazi na walezi kuyabariki au kuyakubali.

Wakati mama yake alipokuwa anapika. Ilikuwa ni siku kubwa.

Mpenzi wake na familia yake walikuwa wanaenda kwao kwa ajili ya chakula cha mchana, siku ya jumamosi,

Walituma ujumbe mfupi kuwa wanakaribia kufika.

Itakuwa mara ya kwanza kwa familia ya watu weusi na familia ya watu wenye asili ya bara la India kukutana.

Alikuwa amevaa fulana na suruali aina ya 'jeans'.

"Iliwafanya kuwa na wasiwasi kwa sababu huu ni mifano wa kile ambacho kinamaanisha watu kuungana".

"Hii ni sawa, au ni kitu kinachokubalika, wanakuja hapa na kula chakula kwa pamoja.' Mimi sikubali na wewe kama Ithra, na tamaduni au dini zao zikoje"

"Sio kama nitakuwa sehemu ya tamaduni zao lakini nitakuwa sehemu ya kila kitu kinachoendelea.

Short presentational grey line

Mapema wiki hii, wakati Tumelo na Ithra karibu na Rosebank mall huko Johannesburg, walizungumzia mambo mawili ambayo yanapaswa kufanyika: walikuwa wanaenda kuangalia kama wataweza kwenda kujitambulisha kwa wazazi.

"Nina hofu," Ithra alikiri.

"Mimi sina hofu," Tumelo alisema, "Nina furaha sana!"

Tumelo and Ithra

Mwishoni mwa mwaka 2019, Ithra na Tumelo, wote wakiwa na umri wa miaka 24 na wanahitimu mwaka wao wa mwisho katika chuo kikuu cha afya cha Wits.

Walianza kuwa marafiki baada ya kumaliza mwaka wa kwanza na sasa wako mwaka watatu.

Katika mahusiano yao, wote walikuwa na mahusiano mengine kabla, na wote waliwahi kuwa na wapenzi ambao sio wa jamii yao - lakini walikuwa wanashangaliwa kwa kuwa na wapenzi wazungu.

"Ilikuwa sawa na kama ulikuwa unatarajia kupata mpenzi ambaye ni mzungu, " Tumelo alisema. "Nilihisi kama vile watu walikuwa wanataka wahalalishe mimi kuwa na mpenzi wa kizungu.

Ilikuwa kama ubaguzi wa rangi ulikuwa bado unaendelea, ulikuwa umejengeka kwenye vichwa vya watu."

Ubaguzi wa rangi Afrika Kusini ulikoma rasmi mwaka 1994 wakati Nelson Mandela alipokuwa rais.

Ulikuwa mwaka ambao wapenzi hao walikuwa wamezaliwa na hivyo kuwafanya wao kuwa wamezailiwa kizazi ambacho kipo huru katika ubaguzi.

Ni kizazi cha kwanza Afrika Kusini ambacho zaidi ya asilimia 40 kiko huru kufanya kazi popote, kuishi popote na kupiga kura wanavyojisikia.

Vilevile wako huru kumpenda yeyote wanayemtaka.

Short presentational grey line

Mahusiano kati ya watu weusi na waafrika kusini wenye asili ya bara la Asia lilibaki kuwa jambo ambalo halijazoeleka.

"Inawezekana sisi ndio wapenzi pekee katika jamii yetu," alisema Ithra. "Kuna watu wapatao 300 ambao wana mahusiano na watu weupe."

Lakini mahusiano ya kati ya Asia na watu weusi ni jambo ambalo limekuwa katika mitandao ya kijamii wakiwa na #Blasian- wengine wakiwa wanaandika changamoto ambazo wangeweza kupata.

Familia ya Ithra ilikuwa inatokea Cape Malay, jumuiya ya watu ambao wamechanganyika watu wa bara la Asia na watu wengine ambao wamekuwa Afrika kusini kizazi kwa kizazi.

Nilizaliwa Kenya na baba wa kihindi, Ithra alirudi nyumbani kwa mama yake - Johannesburg - akiwa na umri wa miaka sita.

Ndio alipoamua kubaki huko na kusoma elimu ya chuo kikuu na ndipo alipokutana na Tumelo, ambaye alikuwa amezaliwa katika mji huo.

Ithra amekulia katika jamii ambayo imechanganyika.

Mama yake , Rayana,alikuwa anapinga ubaguzi wa rangi. Lakini si kila mmoja alikuwa tayari kukubali mahusiano katu yake na Tumelo.

Ithra's mum, Rayana

Katika kundi kubwa la familia la whatsapp, walianza kwa ujumbe wa kwenye biblia. Mwanzani Ithra alikuwa hafahamu nini ambacho kilikuwa kimetokea.

"Ilinibidi nipige simu nyumbani na dada yangu alisema ni kwa sababu bibi yangu aligundua kuhusu mahusiano yangu na mwanaume mweusi." Ithra alisema. "Alipompigia simu dada yangu na alikuwa analalamika kuwa watu watasema nini kuona mjukuu wake ana mchumba mweusi?' Kwa sababu sehemu ambayo ametoka wanajali sana mambo ya jumuiya na wanataka kujua kujua kila kitu katika jumuiya yao."

Nilipokutana nae, Ithra hakuzungumza na bibi yake tangu wakati huo. Ni miezi mitatu sasa imepita.

Tumelo's father, Phuti

"Nilijaribu kumuelezea Ithra kuwa mama anamkataa kutokana na historia ya ubaguzi wa rangi ," Mama yake Ithra, Rayana aliniambia siku inayofuata.

Ithra na dada zake wanne walikuwa wamegana katika hilo.

"Kuwa waislamu au kuwa na utofauti wa rangi na hata kujichanganya na jumuiya ya wahindi. Wazazi wangu walikuwa hawajahi kuingia katika nyumba ya mtu mweusi."

Rayana aliamua kurudi Johannesburg akiwa anatokea Kenya akiwa mama ambayw hajaolewa huku akiwa na kuwalea watoto wake wakike peke yake na baadae alikuja kuolewa.

Alikuwa anaelezea namna alivyopinga ubaguzi wa rangi akishirikiana na wanaharakati weusi, mara ghafla walisikia kelele kutoka kwenye ngazi.

"Kuna nini?" Rayana alipiga kelele.

Dada yake Ithra, Taleah aliokea kwenye ngazi.

Ithra na Tumelo wamepata kazi ya udaktari katika hospitali iliyoko km1,000 kutoka mjini Cape Town.

Ithra and two of her sisters in the kitchen

Rayana, alijawa na furaha na hata machozi yakaanza kumtoka.

Mpaka sasa Ithra na Tumelo walikuwa wanaishi katika familia zao .

Lakini sasa watahamia katika mji mpya pamoja wote kwa pamoja.

Lakini sasa atakuwa peke yake, alianza kuhisi vibaya ghafla ingawa mara zote alikuwa anaunga mkono mahusiano ya binti yake na kijana mweusi.

"Ni mlolongo mrefu, inawezekana wana maisha ya pamoja Ithra na Tumelo,na inawezeka hiki ndio kina maanishwa.

"Sikutaka kufikiria sana. Mara zote nilisisitiza mabinti zangu wawe wawazi katika kila kitu chao na sasa ni mahusiano na mwanaume mweuse . Yanawezaje kuwa wazi?"

An Instagram selfie - Ithra and two of her sisters, Iman and Taleah

Chanzo cha picha, Ithra / Instagram

Maelezo ya picha, Ithra na dada zake wawili , Iman na Taleah

"Sijawahi kuwataka muwe wabaguzi," Rayana aliwaambia mabinti zake.

"Lakini uhalisia ni kuwa hii ni mara ya kwanza kwangu mimi kuingia kwenye nyumba ya familia ya watu weusi tena kwa mawazo kuwa watakuwa wakwe zangu. Ni ngumu sana ?

"Kwa sababu nimeishi katika ubaguzi wa rangi ambapo ubaguzi ulikuwa mkubwa sana. Nakumbuka kwamba nilikuwa nakasirika na wazazi wangu na bibi na babu zangu kwa kutosaidia kwa namna yeyote.

Unaweza kuvutiwa na taarifa hii pia:

Nyumbani kwa bibi na babu yake Ithra, Washiela na Ashraf.

Babu Ashraf, akiwa kwenye kiti mwendo, huku amevaa mavazi ya kiislamu, kanzu na barakashee.

Mke wake alikuwa amekaa karibu yake na kumuuliza kwa nini uongei na mjukuu wako kwa miezi sasa.

Haikuwa chaguo lao kukataa kuongea nao bali walimlaumu Ithra.

"Mwanzoni ilikuwa ngumu kwa sababu sisi ni wazu wa enzi hizo," Washiela alisema. "Nimetokea katika wakati ambao kulikuwa na vikwazo vya ubaguzi.

Wazungu upande wao, watu wenye rangi upande wao na watu weusi upande wao."

Hii ikiwa ina maana kuwa ubaguzi wa rangi uliwaweka wahidi katika ngazi ambayo ni tofauti na watu weusi.

Ningependa kuwa na mpenzi ambaye anatokea katika tamaduni yangu?

"Kiukweli ningefanya hivyo," alisema Washiela. "Lakini hilo si swali la nini nataka"

Hii isingebadili msimamo wa Ithra kutaka kuwa na mwanaume mweusi au mwanaume mweusi?

Babu Ashraf alisema , "huo ni ubaguzi kiukweli."

"Alikubali mke wake. Na kuongeza kuwa : "Sisi tulikuwa wabaguzi sana , nataka kuwa mkweli kwako kwa sababu ubaguzi wa rangi ulikuwa una unyanyapaa.

Sitaondoka mbali lakini jambo hili kuingia kwenye familia yangu mwenyewe , ni jambo tofauti hii ni hali tofauti sana na inabidi ukubali.... Hii ni nchi ya upinde "Rainbow Nation."

"Ningependa kukutana naye,"Babu Ashraf alimaanishaTumelo. "Anapaswa kuja ili kujitambulisha vyema mwenyewe."

Ninakumbuka kuwa nilikuwa nina hasira sana na wazazi wangu na babu na bibi zangu kwa kutokubaliana nami. Niliona kuwa mfumo wa maisha yetu unatufanya kutokufuata haki.

Na sasa kama mtu una nia ya kuwa na ndoa na watoto , mtu unakuwa hauna uhuru katika jamii yako.

Rayana and Modjadji

Ni siku ya mkutano mkubwa na mama yake Tumelo, Modjadji, amejitoa kabisa. Amefanya kazi asubuhi nzima akiandaa chakula maalum. Na pia amenunua nyama ambayo ni halal kwa waislamu.

"Lazima wanijue jinsi nilivyo nami nitawajua jinsi walivyo," anasema akitabasamu. Hakuna njia angeweza kuruhusiwa kumleta nyumbani mwanaume wa kabila lingine anasema. Hilo lingekuwa jambo ambalo halijawahi kutokea.

Anataka watoto wake wawe na uhuru huo, ingawa hataki waachane na tamaduni zao. Na hiyo inamaanisha kutokubali kula miguu ya kuku, au kunywa pombe, mbele ya watu ambao hawajazoea.

"Wamefika," anasema Tumelo, akiinuka kwenda mlangoni. Ithra, Rayana na mumewe na dada za Ithra wanawasili wakiwa na maua na sufuria za kina zilizo na chakula cha bara la Asia: biryani na kuku wa tandoori.

Modjadji anamkumbatia Rayana. "Rafiki yangu!" anasema. "Rafiki yangu! Hatimaye!"

"Tumelo alikuwa akinicheka!" Rayana anasema baada ya kukumbatiana kwa muda mrefu. "Alisema unatengeneza minyoo!"

"Natengeneza!" anasema Modjadji, akicheka.

"Oh," anajibu Rayana, tabasamu lake linateleza kidogo tu.

Wakati familia zinakaa kula, kaka yake Tumelo anasoma sala ya Kikristo. Kisha mazungumzo huanza, halfu hubadilika kwa wale wasio kwenye meza - yaani, babu zake Ithra.

"Mwitikio wa wazazi wangu unatokana na woga," Rayana anasema. "Nilikuwa nikifikiria siku zangu za utotoni. Shuleni, kwa sababu tuliishi katika eneo linalojulikana kama eneo la watu weusi na hakukuwa na watu weusi wengi karibu na sisi ..."