BBC News, Swahili - Habari
Habari Kuu
Moja kwa moja, Kesi ya Lissu: Mahakama kuamua kuhusu mashahidi 7 akiwemo Rais Samia
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, inaendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam. Mahakama itaamua kuhusu mashahidi 7 akiwemo Rais Samia
Mahakama yakataa kuwaita Samia, Majaliwa na Mpango kutoa ushahidi
Mahakama imeeleza kuwa si sahihi kuwaita mashahidi hao kwa madhumuni ya kuthibitisha iwapo walitishika au hawakutishika kutokana na kauli zinazolalamikiwa katika shauri hilo.
Uteuzi wa mwanahabari kuwa mfalme baada ya kifo cha Oyo wazua mzozo Uganda
Anatarajiwa kutawazwa wiki hii, kabla ya mazishi ya Mfalme Oyo yanayotarajiwa kufanyika Jumamosi
Moja kwa moja, Meli ya abiria yaungua moto, watu 5 wafariki na zaidi ya 87 hawajulikani walipo
Meli hiyo, MV June Aster, ilikuwa imebeba watu 134, wakiwemo abiria 117 na wafanyakazi 17. Mamlaka zinasema watu 42 wameokolewa na shughuli za utafutaji na uokoaji zinaendelea.
Vifaa 10 vya kiteknolojia vya ajabu zaidi ambavyo mamilionea wanatarajiwa kununua mwaka huu
Kuanzia kifaa cha huduma za afya kinachopima mate hadi mbwa roboti anayefanana na kiumbe aliyefufuka kutoka kwa wafu, CES 2025 imeanza kwa mtindo wa ajabu na usio wa kawaida kabisa.
Wanawake nguli 5 waliobadili dunia kupitia teknolojia
Licha ya hatua nyingi za kuvutia zilizopigwa, wanawake bado hawajawakilishwa kwa kiwango cha kutosha katika fani hizi.
Mambo 7 yaliyotikisa mjadala wa siasa Tanzania
Tanzania imekuwa katika kipindi cha mijadala mikali kuhusu uelekeo wa siasa za nchi, hasa baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 na matukio yaliyofuatia.
Devolent Mtui: Mtanzania aliyegundua kipepeo mpya duniani
Utafiti wake ulitumia zaidi ya miaka mitatu, akishirikisha watafiti wabobevu ulimwenguni kupitia sampuli za vipepeo zaidi ya 200
Je, chai, kahawa au maji ya moto vinaongeza hatari ya saratani?
Kunywa vinywaji kama chai na kahawa mara kwa mara kwenye halijoto kali sana huongeza hatari ya saratani ya bomba la chakula au korodani, inayojulikana kama saratani ya umio, kwa mujibu wa utafiti wa Uingereza.
Warundi 600 wazuiliwa mpakani Kenya na Tanzania
Serikali ya Kenya imewapa raia wa kigeni siku 90 kukamilisha taratibu zinazohitajika ili kuishi, kufanya kazi na biashara nchini humo.
Unataka kupunguza gharama za data?
Soma mtandao wetu wa maandishi kwa gharama ndogo za data.
Gumzo mitandaoni
'Wizi wa nyeti': Jinsi mitandao ya kijamii ilivyochochea uvumi uliogeuka mauaji
Zaidi ya watu 80 wamepoteza maisha kutokana na mashambulizi ya umati, uchunguzi wa BBC umebaini baada ya kukusanya takwimu kutoka mataifa sita barani Afrika.
Nchimbi kufuata nyayo za Maalim Seif au kina Lowassa?
Katika historia ya siasa za Tanzania, wanasiasa waliowahi kuwa na nafasi kubwa ndani ya CCM lakini wakaondoka au kuondolewa wamewahi kuchukua njia tofauti kuhusu siasa na mustakabali wao kwenye nafasi za kisiasa. Nchimbi atachagua njia ipi?
Ndejembi kumrithi Nchimbi, ni mwanasiasa wa aina gani?
Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua nafasi iliyoachwa na Nchimbi, ambaye alijiuzulu baada ya kuitumikia kwa takriban miezi 10.
Vigogo watano wa CCM waliioondoka katika nyadhifa zao chini ya Rais Samia
Tangu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuingia madarakani, kuna wanasiasa kadhaa cha Chama cha Mapinduzi (CCM), ambao wameondoka kwa hiari au kwa shinikizo katika nafasi zao.
Tundu Lissu: Kuwa na kesi ya kujibu maana yake nini?
Mahakama Kuu ya Tanzania imetoa uamuzi kuhusu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini humo, Tundu Lissu, kwamba ana kesi ya kujibu katika shtaka la uhaini linalomkabili. Hatua hii ina maanisha nini?
'Ninafanya kazi ya kuwabebea wengine ujauzito'
Lorna Fidelia hufanya kazi ya kuwabebea wengine uja uzito. Amewahi kubeba mimba ya pacha watatu miaka michache iliyopita na sasa anatafuta kubeba mtoto mwingine.
Je, Iran itaishambulia Ulaya?
Iran inaweza kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani barani Ulaya iwapo Donald Trump ataishambulia Iran tena, gazeti la Financial Times linaripoti.
Nani anafadhili magenge ya wahuni kuchochea ghasia za kisiasa Kenya?
Polisi nchini Kenya wamewakamata watu 37 wanaoshukiwa kuhusika na ghasia za kisiasa, baada ya kukutwa na silaha mbalimbali katika kaunti za Kisumu na Homa Bay. Ni nani yuko nyuma ya makundi haya ya vijana?
Je, Tanzania inaweza kufikia maridhiano ya kisiasa bila CHADEMA na Lissu?
Historia ya Tanzania inaonesha baadhi ya hatua kubwa za maridhiano ya kisiasa zilihitaji serikali na vyama vikuu vya upinzani kukaa meza moja.
Jinsi ubongo wa nzi unavyoweza kuelezea tabia ya binadamu
Watafiti walichora miunganisho milioni 124 kati ya seli zote za neva katika ubongo wa nzi dume.
Hatari 5 zinazoitishia dunia 2026
Licha ya Afrika kuchangia kwa kiwango kidogo katika mabadiliko ya tabianchi, bado ni miongoni mwa maeneo ambayo hayajajitayarisha vya kutosha kukabiliana na madhara yake ya moja kwa moja.
Viumbe 10 hatari zaidi duniani
Ingawa viumbe wengi wanajulikana kwa kuwatisha watu, ni mmoja tu anayeshikilia nafasi ya kuwa hatari zaidi. Hasa zaidi, kiumbe huyu ndiye anayesababisha vifo vya watu wengi zaidi.
BBC News Swahili sasa ipo WhatsApp
Vipindi vya Redio
Listen Next, Amka Na BBC, 05:59, 11 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Listen Live, Dira Ya Dunia, 18:29, 10 Septemba 2026, Muda 1,00,00
Kipindi cha habari, makala na mahojiano cha kila siku kuanzia saa kumi na mbili unusu jioni Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 06:59, 10 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Sikiliza, Amka Na BBC, 05:59, 10 Septemba 2026, Muda 29,30
Kipindi cha habari, mahojiano na makala kila siku saa kumi na mbili na saa moja asubuhi Afrika Mashariki
Dira ya Dunia TV
Kipindi cha habari motomoto, kinachowaweka watazamaji karibu zaidi na yanayojiri duniani























































