Tunataka kukutangazia taarifa yako: wewe au jamaa zako waliopo nchini Ukraine hivi sasa
Tunatafuta habari kutoka kwa wazungumzaji wa Kiswahili ambao kwa sasa wanaishi Ukraine. Je, maisha yako yanaathiriwa vipi? Je, hali ikoje sasa katika mkoa wako? Zungumza kuhusu uzoefu wako ukitumia fomu iliyo hapa chini - mmoja wa wanahabari wetu anaweza kuwasiliana nawe hivi karibuni na taarifa yako inaweza kuchapishwa kwenye eneo la juu la tovuti yetu.