Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Samatta akumbuka ubingwa wa Afrika 2015 na TP Mazembe
Iliyochapishwa
Fainali ya Ligi ya Klabu Bingwa Afrika inapofanyika Jumatatu Mei 30 mjini Casablanca kati ya Al Ahly ya Misri na Wydad ya Morocco, Nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta ambaye alishinda ubingwa huo 2015 akiwa na TP Mazembe ya DRC anaelezea BBC Michezo Afrika kwa nini kutwaa taji hilo ni fahari ya kila mchezaji wa Kiafrika.