Virusi vya corona: Kijiji kilicho Afrika Kusini chajiandaa kupambana na Covid-19

Iliyochapishwa

Virusi vya corona: Kijiji kilicho Afrika Kusini kinajiandaa kupambana na Covid-19 ambapo kuna changamoto ya ukosefu wa maji , maelfu ya wanakijiji wanajiandaa kuwasili kwa virusi vya corona.