Virusi vya corona: Frank Komba mwamuzi wa soka wa Tanzania anayefanyia mazoezi sebuleni
Iliyochapishwa
Mwamuzi msaidizi mwenye nembo ya FIFA nchini Tanzania Frank Komba ameamua kuendela kufanyia mazoezi nyumbani wakati huu ambao ligi za mpira wa miguu zimeahirishwa maeneo mengi duniani kutokana na Janga la Corona.
Karibuni raisi Magufuli alisema anafikiria kuruhusu ligi kuu nchini humo kuendelea bila ya mashabiki...