Christian Atsu anaamini Ghana watashinda kombe la AFCON
Iliyochapishwa
Ghana inapojiandaa kuchuana na Cameroon katika mechi yao ya Afcon mwka huu, mchezaji wao wa zamani Christian Atsu aliye wakilisha Ghana katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2015, anaamini mwaka huu, Ghana wananafasi ya kushinda taji hilo kwasababu kikosi chao kiko imara zaidi, kina wachezaji hodari na wacheshi nje ya uwanja.
