Marashi ya Karafuu, je bado yapo Pemba?

Iliyochapishwa

Wakulima wa Karafuu Pemba wanasema wanaitaka Serikali yao kufanya juhudi kwa ajili ya kuendeleza zao ambalo wamekuwa wakizalisha kwa miaka mingi.

Miezi ya Septemba,Oktoba na Novemba ni nyakati muhimu mwakani kwa wakulimwa wa mikarafuu kisiwani Pemba.Ni kipindi cha msimu wa mvua za vuli wakati mikarafuu inavunwa kwa kutumia mikono.Mashada ya matawi ya chini yanaweza kutolewa kwa kuvutwa ama kutikiswa.Mfanyakazi anayevuna mikarafuu.
Maelezo ya picha, Miezi ya Septemba,Oktoba na Novemba ni nyakati muhimu mwakani kwa wakulimwa wa mikarafuu kisiwani Pemba.Ni kipindi cha msimu wa mvua za vuli wakati mikarafuu inavunwa kwa kutumia mikono.Mashada ya matawi ya chini yanaweza kutolewa kwa kuvutwa ama kutikiswa.Mfanyakazi anayevuna mikarafuu.
Uvunaji ni kazi ngumu.Mashada ya mikarafuu yaweza kuwa kwenye sehemu yenye matawi mengi na hivyo kuwa ngumu kuyafikia
Maelezo ya picha, Uvunaji ni kazi ngumu.Mashada ya mikarafuu yaweza kuwa kwenye sehemu yenye matawi mengi na hivyo kuwa ngumu kuyafikia
Miti ya mikarafuu inaweza kuwa hadi urefu wa mita 15 (futi 49).Wakulima wengi huwa wajuzi wa kukwea miti,wanakwea miti ya mikarafuu ili kutoa mashada yaliyo kwenye matawi juu ya mti.Watu wengi kwenye kisiwa wanategemea mikarafuu ili kujikimu kimaisha.Hii ndiyo imekuwa hali yao tangu mitii hii ilipoletwa kutoka nchini Indonesia miaka mwanzo wa karne ya 19.Wakulimwa wanajihusisha na uvunaji wa mikarafuu.
Maelezo ya picha, Miti ya mikarafuu inaweza kuwa hadi urefu wa mita 15 (futi 49).Wakulima wengi huwa wajuzi wa kukwea miti,wanakwea miti ya mikarafuu ili kutoa mashada yaliyo kwenye matawi juu ya mti.Watu wengi kwenye kisiwa wanategemea mikarafuu ili kujikimu kimaisha.Hii ndiyo imekuwa hali yao tangu mitii hii ilipoletwa kutoka nchini Indonesia miaka mwanzo wa karne ya 19.Wakulimwa wanajihusisha na uvunaji wa mikarafuu.
Hapa katika kijiji cha Konde,kama vile tu kiwa chote cha Pemba,kila mtu wa familia anatarajiwa kusaidia.Wanaume,wanawake na hata watoto wadogo huamka mapema ili kwenda kuvuna mikarafuu.Kukwea miti kumeachiwa wanaumme,ilhali wanawake na watoto hukusanya mikarafuu iliyoanguka arhini.
Mkulima akianika mikarafuu ili kuikausha.
Maelezo ya picha, Hapa katika kijiji cha Konde,kama vile tu kiwa chote cha Pemba,kila mtu wa familia anatarajiwa kusaidia.Wanaume,wanawake na hata watoto wadogo huamka mapema ili kwenda kuvuna mikarafuu.Kukwea miti kumeachiwa wanaumme,ilhali wanawake na watoto hukusanya mikarafuu iliyoanguka arhini. Mkulima akianika mikarafuu ili kuikausha.
'Vilele' vilivyochaguliwa pamoja na matawi hubebwa kwenye mkoba spesheli kutoka kwa shamba la mkulima hadi vijijini.Zao hilo huchaguliwa ili kutenganisha matawi na vilele.Kisha yote huachwa kukauka juani.Matawi yaliyokauka husagwa na yaweza kutumika kutengeneza ubani na marashi.Pia yanaweza kutumika katika mafuta yanayotumiwa katika matumizi ya usafi na wakati mwingine hutumika katika matibabu ya meno.Mikarafuu inayokauka.
Maelezo ya picha, 'Vilele' vilivyochaguliwa pamoja na matawi hubebwa kwenye mkoba spesheli kutoka kwa shamba la mkulima hadi vijijini.Zao hilo huchaguliwa ili kutenganisha matawi na vilele.Kisha yote huachwa kukauka juani.Matawi yaliyokauka husagwa na yaweza kutumika kutengeneza ubani na marashi.Pia yanaweza kutumika katika mafuta yanayotumiwa katika matumizi ya usafi na wakati mwingine hutumika katika matibabu ya meno.Mikarafuu inayokauka.
Vilele vinakaushwa juu ya mikeka kwenye juani.Wakati huu mwakani,utaona mara nyingi mikeka iliyofunikwa na mikarafuu inayokaushwa kandokando ya barabara.Mikarafuu inaachwa kwa kama siku tatu hivi.Zinapoendelea kukauka,huwa zinatoa harufu nzuri ya kuvutia,inayoenea kisiwani kote.
Akibeba mikarafuu kelekea kituo cha kutibu.
Maelezo ya picha, Vilele vinakaushwa juu ya mikeka kwenye juani.Wakati huu mwakani,utaona mara nyingi mikeka iliyofunikwa na mikarafuu inayokaushwa kandokando ya barabara.Mikarafuu inaachwa kwa kama siku tatu hivi.Zinapoendelea kukauka,huwa zinatoa harufu nzuri ya kuvutia,inayoenea kisiwani kote. Akibeba mikarafuu kelekea kituo cha kutibu.
Karafuu hukusanywa kwa kituo. Kuna vituo vya kiserikali vitatu vya kusanyaji karafuu katika Pemba. Wakulima kutoka Konde hupeleka  mazao yao  Chake Chake. 
kuchagua nzuri na mbaya  kwa kituo cha matibabu
Maelezo ya picha, Karafuu hukusanywa kwa kituo. Kuna vituo vya kiserikali vitatu vya kusanyaji karafuu katika Pemba. Wakulima kutoka Konde hupeleka mazao yao Chake Chake. kuchagua nzuri na mbaya kwa kituo cha matibabu
Hapa karafuu ni huchaguliwa kwa mkono ili kuondoa uchafu na chembe  zisizohitajika. Ni utaratibu wa kina wenye nia ya kuhakikisha kuwa bidhaa ya mwisho ni ubora zaidi.Karafuu kuanikwa  juu ya mikeka
Maelezo ya picha, Hapa karafuu ni huchaguliwa kwa mkono ili kuondoa uchafu na chembe zisizohitajika. Ni utaratibu wa kina wenye nia ya kuhakikisha kuwa bidhaa ya mwisho ni ubora zaidi.Karafuu kuanikwa juu ya mikeka
Karafuu huchungwa na kuwekwa nje ambapo inaweza kuchunguzwa kwa ubora na kupimwa kupima uzani
Maelezo ya picha, Karafuu huchungwa na kuwekwa nje ambapo inaweza kuchunguzwa kwa ubora na kupimwa kupima uzani
Mazao ya mwisho ya karafuu hukaushwa na kisha kupimwa uzani. Kila mkulima hulipwa mara moja. Kwa kila kilo 90 la gunia mkulima anapata dola 720 
Viongozi kuangalia karafuu
Maelezo ya picha, Mazao ya mwisho ya karafuu hukaushwa na kisha kupimwa uzani. Kila mkulima hulipwa mara moja. Kwa kila kilo 90 la gunia mkulima anapata dola 720 Viongozi kuangalia karafuu
Uzito, kukauka na harufu ya karafuu huangaliwa. Indonesia ndio wakulima wakubwa, wanunuzi na wanatumia karafuu kwa wingi. wanazalisha kati ya tani 60,000 na 80,000 kwa mwaka. Lakini karafuu ya Zanzibar kutoka Pemba ndio inahitaji zaidi ufungaji wa karafuu katika kituo cha ukusanyaji
Maelezo ya picha, Uzito, kukauka na harufu ya karafuu huangaliwa. Indonesia ndio wakulima wakubwa, wanunuzi na wanatumia karafuu kwa wingi. wanazalisha kati ya tani 60,000 na 80,000 kwa mwaka. Lakini karafuu ya Zanzibar kutoka Pemba ndio inahitaji zaidi ufungaji wa karafuu katika kituo cha ukusanyaji
"Karafuu ina harufu nzito sana na idadi kubwa ya maua yake ni makubwa, hufanya karafuu hii kuwa mojawapo ya ile bora zaidi duniani," Bwana Jongo anasema.
Kuweka karafuu katika magunia kituoni cha ukusanyaji
Maelezo ya picha, "Karafuu ina harufu nzito sana na idadi kubwa ya maua yake ni makubwa, hufanya karafuu hii kuwa mojawapo ya ile bora zaidi duniani," Bwana Jongo anasema. Kuweka karafuu katika magunia kituoni cha ukusanyaji
Karafuu huwekwa katika magunia na kupelekwa kwa ghala kusubiri usafiri wa kwenda kwa kituo cha ufungaj. hapo itauzwa nchini ama kusafirishwa ng'ambo kwa matumishi ya upishi, dawa, vipodozi, au sigara ya karafuu ambayo ni maarufu indonesia
Maelezo ya picha, Karafuu huwekwa katika magunia na kupelekwa kwa ghala kusubiri usafiri wa kwenda kwa kituo cha ufungaj. hapo itauzwa nchini ama kusafirishwa ng'ambo kwa matumishi ya upishi, dawa, vipodozi, au sigara ya karafuu ambayo ni maarufu indonesia