Majengo ya kale ya Dar yako wapi?
Iliyochapishwa
Dar es Salaam ndio mji mkubwa , tajiri zaidi na wenye biashara chungu nzima nchini Tanzania.
Jina lake lina maanisha sehemu ya amani na unajulikana kwa bandari yake kubwa , fuo zake rembo za bahari pamoja na majengo yake ya kale.
Lakini wakati mji ukiendelea kukuwa, ndiyo picha inayoonekana katika anga za nchi hii , huku baadhi ya majengo yake makuu kuu yakibomolewa kutoa nafasi kwa majengo mapya marefu
Na sio kila mtu anafurahia hili kama anavyosimulia Tulanana Bohela