Viongozi wa mapinduzi Mali waamuru mipaka ifunguliwe tena

Viongozi wa kijeshi ambao walichukua mamlaka nchini Mali baada ya kumpindua Rais wametangaza kuwa mipaka ardhini na anga itafunguliwa tena leo Ijumaa