Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Video yaonyesha ndege ya Nepal ikiyumba muda mfupi kabla ya kuanguka
Iliyochapishwa
Takriban watu 68 wamefariki wakati ndege kutoka Kathmandu kuelekea mji wa kitalii wa Pokhara ilipoanguka na kuwaka moto Jumapili asubuhi huko Nepal
Video zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha ndege ikipaa chini chini kwenye eneo lenye watu wengi kabla ya kuyumba sana.