Tazama: Moto ulivyoathiri miundombinu Mlima Kilimanjaro
Iliyochapishwa
Moto uliowaka kwa siku zaidi ya kumi kwenye hifadhi ya taifa yam lima Kilimanjaro umeacha athari kwenye maeneo mbalimbali ukiachana na uharibifu wa kiikolojia
Moto huo umeteketeza miundombinu ya mawasiliano iliyokuwa inapeleka mawasiliano ya intaneti kwenye kilele cha mlima Kilimanjaro
Hakuna taarifa rasmi mpaka sasa kutoka serikalini iwapo moto huo tayari umedhibitiwa kabisa
Eagan Salla ametuandalia taarifa ifuatayo