Wasifu wa Malkia Elizabeth II

Maelezo ya video, Malkia Elizabeth II amefariki dunia
Iliyochapishwa

Malkia Elizabeth II, ambaye ametawala Uingereza kwa miaka 70 iliyopita amefariki dunia akiwa na miaka 96.

Utawala wake umeshuhudia dunia ikibadilika kwa haraka lakini aliendelea kuwepo kwa ajili ya maisha ya raia wa Uingereza na Jumuiya ya madola.