Huu ni muziki wa Amapiano

Maelezo ya video, Huu ni muziki wa Amapiano
Iliyochapishwa

Muziki mpya uliojizolea umaarufu kutoka nchini Afrika kusini na kuenea dunia nzima. Je ni wakina nani walibuni sauti hii na namna ulivyopata mafanikio ya kimataifa.