Uchaguzi Kenya 2022:Mambo matano makuu yanayotawala uchaguzi mkuu wa Kenya
Iliyochapishwa
Kenya inaelekea uchaguzi mkuu tarehe 9 Agosti mwaka huu na masuala makubwa katika uchaguzi huu ni ukosefu wa ajira,umaskini ,gharama ya juu ya maisha,ufisadi,ukosefu wa usalama na afya .
Lakini shina kubwa linalounganisha masuala yote haya yote ni uchumi .
Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa anatueleza zaidi;
