Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Uchaguzi wa Kenya 2022:Mfumko wa bei za bidhaa umeathiri vipi maisha?
Iliyochapishwa
Jacqueline Ngima Gichuki ni mjane na mama wa watoto 2.
Maisha hayajawa rahisi kwa mwanamke huyu ambaye hapo awali aliishi kwa raha. Amepoteza kila kitu na akaamua kutoka mji mkuu Nairobi hadi Kiamunyi huko Nakuru.
Watoto wake walihama kutoka shule ya kibinafsi hadi ya umma Hawezi kuweka akiba .
Anaishi katika hali ya uchochole na mara nyingi hulazimika kuchukua vifaa kwa mkopo kutoka kwa kioski. Anne Ngugi na taarifa ifuatayo.