Uchaguzi Kenya 2022: Wafahamu wagombea hawa wanne wa uchaguzi

Maelezo ya video, Uchaguzi Kenya 2022: Wafahamu wagombea hawa wanne wa uchaguzi
Iliyochapishwa

Kinyang'anyiro cha kuwania urais katika uchaguzi mkuu wa Kenya unaotarajiwa Agosti 9, mwaka huu, kilivutia takriban wawaniaji hamsini lakini ni wanne tu walioruhusiwa kugombea urais.

Tazama video hii upate kuwahamu zaidi viongozi hawa wanne akiwemo Raila Odinga , William Ruto, George Wajackoyah na David Mwaure