Nyota wa Rap Meegan The Stallion ataka Troy afungwe jela
Iliyochapishwa
Megan Thee Stallion anataka Tory Lanez "aende jela", baada ya kudaiwa kumpiga risasi baada ya tafrija huko Hollywood Hills mwaka wa 2020. Katika mahojiano mapya na jarida la Rolling Stone, Nyota huyo anasema "kamwe hangefikiria kuwa aliyekuwa mpenzi wake Troy angempiga risasi.