Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Malkia: Picha zinazoonyesha ‘furaha nyuma ya utaratibu’
Iliyochapishwa
Malkia ameipatia dunia mwangaza juu ya ‘’furaha nyuma ya utaratibu’’wa maisha ya ufalme katika makala mpya ya BBC.
‘’Elizabeth:Malkia asiyeonekana’’ anaelezea maisha yake kupitia mamia ya misururru ya picha za video ambazo zinatolewa kwa mara ya kwanza.