Wamiliki wa magari Tanzania wakimbilia Gesi ya magari

Maelezo ya video, Baadhi ya wamiliki wa magari Tanzania wakimbilia Gesi ya magari
Iliyochapishwa

Magari zaidi ya 1000 Jijini Dar es salaam yameongezewa mfumo wa uendeshaji wa gesi, wengi wa wamiliki wakilenga kukabiliana na gharama ya mafuta

Licha ya mwamko huo wa watumiaji wa magari changamoto inasalia kuwa ni vituo vya kujazia ambavyo kwa mujibu wa serikali viko mbioni kujengwa

Mwandishi wetu Eagan Salla na taarifa zaidi