Ramadhan 2020: ‘Hata asiyekuwa Muislamu akitaka Quran imuongoze, inamuongoza’ - Sheikh Kip
Iliyochapishwa
Waumini wa dini ya Kiislamu na dini nyingine wamekuwa na maswali kadha wa kadha kuhusiana na mwezi mtukufu wa Ramadhani ambao ni mahsusi kwa waumini wa dini ya kiislamu kuomba toba ya kweli na kichuma thawabu
Sheikh Hilal almaarufu Sheikh Kipoozeo anajibu ya maswali ya watu mbalimbali duniani kote waliokuwa na shauku ya kufahamu mengi kuhusu mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Je nawe una swali lolote linalohusiana na mwezi huu!? Uliza kupitia sanduku la maoni hapo chini kisha utapewa majibu maridhawa