Sabuni za Magadi zinavyowapa ajira vijana wa Kigoma

Maelezo ya video, Sabuni za Magadi zinavyowapa ajira vijana wa Kigoma
Iliyochapishwa

Baadhi ya vijana mjini kigoma wanajikwamua kiuchumi kwa kutengeneza sabuni za magadi ambazo wanaziuza ndani na nje ya nchi.

Sabuni ambazo zinasifika kwa povu jingi hutumia malighafi za ndani kama vile mafuta ya mawese.

Mwandishi wa BBC Hamphrey Mgonja aliwatembelea na kuzungumza nao.

Picha: Eagan Salla