Maji ya Kano - 'Wakati mwingine siogi kwasababu hakuna maji ya kutosha'
Iliyochapishwa
Tunaendeleza mfululizo wa makala maalum kuhusu masuala yanayohusiana na Maji na Usafi wa Mazingira Barani Afrika. Leo tunaangazia Mji wa Kano Kaskazini mwa Nigeria, ambako ongezeko la kasi la idadi ya watu linaathiri jamii ambayo inakabiliwa na uhaba wa maji. Taarifa ya Sarah Tiamiyu anaangazia ubunifu unaotumika kushughulikia suala hilo.