Vita vya Ukraine: Je vikwazo vya kimataifa vimefanya kazi?

Maelezo ya video, Vita vya Ukraine: Je vikwazo vya kimataifa vimefanya kazi?
Iliyochapishwa

Nchi zimekuwa zikitumia vikwazo kama chombo cha kidiplomasia kuzuia nchi nyingine kukomesha vitendo vya kichokozi au kukiuka sheria ya kimataifa. BBC Reality Check inachunguza mifano minne ambayo mataifa yametumia kama adhabu na haya ni matokeo yake.