Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Tanzania:‘Kugusa kinyesi cha mtu mwingine kunahitaji moyo wa ujasiri.’
Iliyochapishwa
Julius Chisengo amekuwa akitoa kinyesi kutoka vyoo kwa miaka 30 katika makazi ya mabanda Dar es Salaam.
Kwa muda mrefu, alijulikana kama ‘chura’, jina la kudhalilisha watoaji kinyesi chooni ambao hutumia mikono yao mitupu kufanya kazi hiyo.
Sasa ni mtetezi wa usalama kwa watoa kinyesi kutoka vyoo kutumia mikono jijini Dar es Salaam.