Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Mfahamu Msichana mwenye kiwanda cha ushonaji maarufu Kenya
Iliyochapishwa
Katika makala ya vijana wenye chini ya miaka 30 wiki hii tunamuangazia msichana mwenye umri wa miaka 23 Brightstar Musyoka kutoka nchini Kenya alilewa na bibi na babu yake baada ya kutelekezwa na mama yake.
Amemwambia mwanahabari Paula Odek hajui sababu halisi ya mama yake kumtelekeza akiwa na wa miaka miwili lakini kwa hivi sasa ana kampuni ya ushonaji wa nguo maarufu na hata ameweza kuwaajiri vijana wenzake.