Mzozo wa Ukraine: Raia wa Tanzania walio Ukraine wanasema nini?

Maelezo ya sauti, Mzozo wa Ukraine: Raia wa Tanzania walio Ukraine wanasema nini?
Iliyochapishwa

Vikosi vya Ukraine vinapambana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine.Hii leo ikiwa siku yake ya nne tangu kuanza kwa mapigano, raia wa Tanzania waishio Ukraine wanaeleza hali ilivyo.

Dkt.Lahsen Mohamed Kheir ni kiongozi wa Jumuiya ya wanafunzi Ukraine amezungumza na Lizzy Masinga