Uvamizi wa Ukarine: Waukraine wanaamua iwapo watakimbia, kujificha au kukapigana na Urusi

Maelezo ya video, Uvamizi wa Ukarine: Rais wa Ukraine anashauri raia wake 'Usiogope'
Iliyochapishwa

Ving'ora vya kuashiria mashambulizi ya anga sasa ni jambo la kawaida kote nchini Ukraine.

Raia wa nchi hiyo wanaamua wanaamua iwapo watakimbia, kujificha au kukanbiliana na uvamizi wa Urusi.

Makombora ya Urusi yameharibu miji ya Ukraine, baada ya wanajeshi wa Urusi wa ardhini kuingia katika maeneo ya mashariki. Rais wa Ukraine anashauri 'Usiogope'. Ametoa wito kwa raia kuchukua silaha ili kudhibiti vikosi vya Urusi