Ghana inavyotumia vitu vilivyochakatwa katika ujenzi na kutengeneza bidhaa nyingine

Maelezo ya video, Kituo cha basi cha Ghana kilichotengenezwa 98% ya vitu vilivyochakatwa
Iliyochapishwa

Tunaendelea kuangazia taarifa kuhusu masuala ya maji, usafi, kote barani Afrika. Leo tunaiangazia Ghana, ambayo huzalisha zaidi ya tani milioni moja za takataka za plastiki kila mwaka, lakini ikichata chini ya 6% ya takataka hizo. Zilizosalia huishia kwenye mitaro.

Miaka michache iliyopita, Makafui Awuku, pamoja na kikundi cha wabunifu mjini Accra, wamekuwa wakikabiliana na tatizo hilo kwa kubadilisha takataka za plastiki kuwa bidhaa zinazofanana na ngozi ambazo zinaweza kutumiwa kutengeneza mikoba na viatu. Sasa kikundi chao kimeanza mradi mkubwa hata zaidi…Now, his team has embarked on an even bigger project--a bus shelter. Yemisi Adegoke has more in this report.