Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Somalia, Ujinsia na mimi: Kuwa mpigapicha katika Mogadishu
Iliyochapishwa
Inakuwaje kuwa mwanamke anayefanya kazi nchini Somalia katika mwaka 2022 – ukijaribu kufanya kazi katika utamaduni ambapo wanawake wanachukua nafasi ya pili baada ya wanaume kwa nyanja nyingi za maisha?
Kwa wanawake wengi katika maeneo ya kazi, ni mapambano ya kila siku dhidi ya ubaguzi. BBC Africa Eye inahoji, je ni muda sasa wa kuanza kufikiria tofauti? Je mambo yanaweza kubadilika?
Hii ni hadithi ya Maryama Omar, mpigapicha mwanamke katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu