‘Miaka 91 baadaye mapenzi bado yamenoga katika ndoa yetu’

Iliyochapishwa

Zekaria na Shama’a wameoana kwa miaka 91.

Wakiwa mayatima wa Kiyahudi huko Yemen, walioana wakiwa vijana ili kuepuka kuolewa nje ya imani na utamaduni wao.

Walinusurika umaskini uliokithiri na mateso, na walikuwa baadhi ya Wayahudi wa kwanza wa Yemeni kuhamia Israeli wakati taifa hilo lilipoanzishwa.