Valentine's Day: Je, unatafuta mpenzi hizi hapa dondoo za kumpata mpenzi?
Iliyochapishwa
Inakadiriwa kwamba takriban watu milioni 240 duniani huenda mitandaoni kutafuta mpenzi kulingana na mtandao wa takwimu wa Statista, lakini unajua kwamba sio wote wanaofanikiwa kupata mpenzi?
Hivyobasi hizi ni dondoo zitakazokuwezesha kumpata unayemtafuta kwa udi na uvumba.