Witnes Raphael: ’Nimeingia kwenye Historia ya nchi kama msichana aliyetambulisha kitu kipya’

Iliyochapishwa

Witnes Raphael; ’Nimeingia kwenye Historia ya nchi kama msichana aliyetambulisha kitu kipya’

Katika mfululizo wa makala kuhusu vijana walio chini ya miaka 30 ambapo huangazia vijana waliofanya vizuri na wanaoendelea kufanya vizuri katika teknolojia, siasa na kijamii kwa nchi za Afrika Mashariki.

Leo tunae @thereal_witny_sima_97 binti kutoka Tanzania na mhitimu wa Chuo Cha Ustawi wa Jamii ngazi ya Diploma ambaye ni Mlemavu aliyefanikiwa kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo kwa wasichana wanaotumia kiti mwendo Duniani Miss Wheelchair

Je alipataje nafasi hii adhimu? kufahamu hayo na mengine mengi mwandishi wa BBC @frankmavura amemtembelea binti huyu nyumbani kwao Kibaha mkoani Pwani

: @thereal_witny_sima_97 & @misswheelchairworld