Wasichana wa Rwanda wanaosaidia kuinua usafi wakati wa hedhi kupitia michezo ya redio

Maelezo ya video, Kuinua kiwango cha usafi wakati wa hedhi kupitia michezo ya redio
Iliyochapishwa

Katika maeneo ya vijini ya nchi ya Rwanda , ukosefu wa pedi za hedhi na huduma za usafi huwanyima wasichana wengi wanaosoma shule heshima na faragha-na hivyo kuwalazimisha baadhi yao kukatiza masomo. Lakini wanafunzi katika shule ya GS Ntarama wakishirikiana na kituo cha redio cha kijamiiwanasaidia kutatua hilo