Nigeria: Mvumbuzi anayepambana na dawa feki nchini Nigeria

Iliyochapishwa

Kumeza dawa bandia kunaweza kuwa hatari sana. Mwanaume mmoja nchini Nigeria, Adebayo Alonge nusura afariki kutokana na hilo. Kwa hiyo aliamua kuchukua hatua ya kukabiliana na hilo kwa kubuni kifaa mahiri ambacho kinaweza kupima ikiwa dawa ni bandia au la.