Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Will Perry: 'Nimechoka kuchekwa kila siku'
Iliyochapishwa
Will Perry, muogeleaji aliyewakilisha Uingereza katika michezo ya Olimpiki ya walemavu ,anasema "amechoka’’ kuchekelewa kwa sababu ya kimo chake kifupi. Anakabiliwa na hali inayojulikana kama achondroplasia na anasema watu kama yeye mara nyingi huchukuliwa video au kudhihakiwa mtaani. Perry mwenye umri wa miaka 21 anatoa wito kwa watu kuwawajibisha wale wanaofanya hivyo.