Hii ni tovuti ya maandishi pekee ambayo inatumia data kidogo. Tazama toleo kuu la tovuti likijumuisha picha na video zote.
Pata maelezo zaidi kuhusu toleo hili la linalotumia kiasi kidogo cha data
Kwanini ulimwengu unavutiwa na taarifa za Korea Kaskazini?
Iliyochapishwa
Korea Kaskazini na kiongozi wake Kim Jong-un inaangaziwa mara kwa mara katika vyombo vya habari vya magharibi, kuonesha udhibiti mkali wa kidikteta katika maisha ya kila siku, unyanyasaji wa kikatili dhidi ya wapinzani na majaribio ya kuitukuza familia ya Kim.
Lakini baadhi ya taarifa hizo hazina msingi au zimeongezwa chumvi. Lakini kwa nini taarifa hizo bado ni maarufu? Na tunahitaji kujua nini kuhusu Korea Kaskazini?
Mwandishi wa BBC Monitoring Tse Yin Lee alizungumza na wataalamu wawili kuhusu mada hii.
Video na Suniti Singh