Mapacha waliounganika wanaofanya kazi moja India
Iliyochapishwa
Kwanza ni ucheshi wa asili na kufanya kazi kwa bidii.
Hii ndio hulka ya ndugu hawa wawili, walio na miguu miwili , vichwa viwili na mikono minne na wanafanya kazi ya serikali.
Ijapokuwa safari yao haijakuwa rahisi. Wao ni mfano mzuri ambao unatupatia sote motisha ya kutokata tamaa maishani...