Tazama jinsi wavulana wawili walivyoepuka moto kwenye gorofa lililoungua

Iliyochapishwa

Vijana wawili wenye umri wa kubalehe waliweza kunusurika na mkasa wam oto uliowaka katika gorofa la nne kwa kupitia dirishani na kushuka kwa bomba hadi chini. Moto huo uliwaka katika jengo lililopo jijini New York Alhamisi. Mtu mmoja ametambulika kufariki kwenye mkasa huo.