Je, unaweza kupikia chungu leo hii?

Iliyochapishwa

Vyungu ni moja kati ya matokeo ya kazi za ufinyanzi asili ambapo nchini Tanzania na maeneo mengine ya Afrika Mashariki, lakini zana hizo zimeanza kupotea.

Mabadiliko ya kiteknolojia yameweza kuleta vitu kama sufuria, ndoo, friji na matumizi ya vyungu kuanza kubadilika au kupotea.

Mwandishi wa BBC, Esther Namuhisa alitembelea Wilaya ya Kyela, Kusini Magharibi mwa Tanzania na kukutana na jamii ambayo i ufinyanzi wa vyungu ni miongoni mwa shughuli kubwa ya kuwapatia kipato.

Video:Eagan Salla