Joseph Sinde Warioba: 'Kwasasa hatuwezi kufanya kura ya maoni kuhusu katiba mpya Tanzania'

Maelezo ya video, Joseph Warioba: 'Kwasasa hatuwezi kufanya kura ya maoni kuhusu katiba mpya Tanzania'
Iliyochapishwa

Kuelekea miaka 60 ya uhuru BBC imefanikiwa kufanya mazungumzo na Jaji mkuu mstaafu Mzee Joseph Sinde Warioba ambaye ameeleza mambo mengi ikiwemo suala la Tanzania kuwa na subira wakati mchakato wa kuelekea upatikanaji wa katiba mpya ya Tanzania chini ya Rais Mama Samia Suluhu Hassan

Lakini pia nguvu iliyowekwa wakati huo kupambana na maadui wa taifa ambao ni ujinga, maradhi na Umaskini na ipi ilikuwa Falsafa ya Mwalimu J.K Nyerere katika uongozi wake?

Mwandishi wa BBC @frankmavura ametuandalia video ifuatayo