Chui mwanafunzi au mwindaji wa watu India?

Iliyochapishwa

Chui alinaswa katika mji wa Aligarh kaskazini mwa India baada ya kuingia shuleni na kumshambulia mwanafunzi.

Mwanafunzi huyo ambaye alipata majeraha madogo, alisema alitoka nje ya darasa akikimbia baada ya kumuona mnyama huyo akiwa amejificha humo.

Tembelea mtandao wa BBC News.Com kwa taarifa ya kina