HIV: 'Ilichukua karibu miaka minne kufichua hali yangu ya HIV kwa watu'

Maelezo ya sauti, Ilichukua miaka karibu minne kufichua hali yake ya HIV
Iliyochapishwa

Marlon Van Der Mark, kijana kutoka Cardiff Uingreza ana virusi vya HIV,miaka minne iliyopita hali yake lilikuwa siri.

Anasema alipojitokeza kwa umma kwenye mitandao ya kijamii, semi za watu hasa vijana zilimvunja moyo kuona kwamba unyanyapaa abdo upo.

Tembelea mtandao wa BBC News kusikiliza Zaidi video yake.