Sonona baada ya kujifungua: Simulizi ya Mama kiziwi

Maelezo ya video, Sonona baada ya kujifungua: Simulizi ya Mama kiziwi
Iliyochapishwa

Kujifngua mtoto kunaweza kuwa na athari mbaya zisizotarajiwa kwa afya ya akili ya mzazi . Lakini je umewahi kujiuliza Jinsi athari hiyo inavyoweza kumuathiri mama kiziwi?

Catherine anazungumza kuhusu uzoefu wake kama mama mpya, baada ya kugundua kuwa anaugua sonana baada ya kujifungua, na jinsi alivyoweza kufanya kazi katika kipindi hicho chenye changamoto maishani mwake, kupitia usaidizi kutoka kwa shirika moja la Nairobi ambalo huwasaidia akina mama viziwi waliougua sonona baada ya