Jinsi somo la 'mwanaume anavyoweza kuoa mara nyingine' lilivyoibua utata nchini Saudi Arabia

Chanzo cha picha, Getty Images
Tangazo la somo jipya la kuwafundisha wanaume jinsi wanavyoweza kuoa tena limeibua utata nchini Sauda Arabia, ambao umesababisha kufutwa kwa kozi hiyo.
Al-Bir iliandaa mpango wa mafunzo kwa wanaume katika makao yake makuu ya Ar-Rass, Saudi Arabia, chini ya mada inayosema "Mikakati kwa ajili ya kuongeza Mke wa pili."
Hatua hiyo imeibua hasira nchini Saudi Arabia na nchi nyingine za Kiarabu, ambako taarifa ya mafunzo haya imekuwa ikigonga vichwa vya habari kwenye mitandao ya kijamii ya habari.
Mwanaharakati mmoja alituma picha ya mafunzo ya mahusiano ya nje ya ndoa kwenye ya Al-Bir na shughuli zake za kijamii.
Kuna maoni yanayokinzana kuhusu somo hilo, lakini wengi wao wanalikosoa zaidi, huku baadhi wakisema mafunzo juu ya jinsi ya kupata kazi au masomo ya stashahada ndiyo wanayohitaji kuyapata lakini wanashangaa sababu ya kuandaa somo hili wakati huu.
Maoni mengi ya watu ni hasi kuhusu tangazo hilo.
Baadhi ya Wasaudia wanachukulia ndoa ya wake wengi kama halali kisheria na ya lazima, jambo ambalo ni muhimu kama mtu anaweza kuhakikisha kunakuwepo na usawa na haki na utajiri wa kutosha wa kuwatunza wanawake wawili. Kwahiyo somo la aina hiyo halihitajiki.
Baadhi walisema kwamba funzo la aina hiyo halihitajiki , kama @RUMAYH_SULAIMAN anasema "ujuzi ambao vijana wengi wanauhitaji t katika maeneo mengi ni wa ujasiliamali sasa na masomo ya bila malipo yanatolewa kuhusu mikakati ya ujasiliamali kwa wanawake
Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye mitandao ya kijamii. Tunaomba ruhusa yako kabla kitu chochote hakija pakiwa, sababu wanaweza wakawa wanatumia Cookies na tekinolojia nyingine. Unaweza ukasoma sera sera ya kutumia cookies katika mitandao ya kijamii kabla ya kukubali. Kutazama maudhui haya chagua accept and continue
Mwisho wa X ujumbe, 1
Wengi wanashangazwa na kwamba nembo ya ruwaza ya 20 ya Saudi imeidhinishwa katika madarasa.
Baadhi wameelezea somo hilo kama janga kubwa
Kulingana na @AzizAQ: "Shirika la msaada na kituo cha utaalam kitaendesha mafunzo kujifunza zaidi juu ya kuwajengea uwezo wanawake. Ni janga kubwa ."
Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye mitandao ya kijamii. Tunaomba ruhusa yako kabla kitu chochote hakija pakiwa, sababu wanaweza wakawa wanatumia Cookies na tekinolojia nyingine. Unaweza ukasoma sera sera ya kutumia cookies katika mitandao ya kijamii kabla ya kukubali. Kutazama maudhui haya chagua accept and continue
Mwisho wa X ujumbe, 2
Wengine wanaliona somo hilo kama " Matusi kwa wanawake na kudunisha mawazo ya wanaume ."
Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye mitandao ya kijamii. Tunaomba ruhusa yako kabla kitu chochote hakija pakiwa, sababu wanaweza wakawa wanatumia Cookies na tekinolojia nyingine. Unaweza ukasoma sera sera ya kutumia cookies katika mitandao ya kijamii kabla ya kukubali. Kutazama maudhui haya chagua accept and continue
Mwisho wa X ujumbe, 3
Faisal Al-Fraih alisema kuwa inapaswa kusemwa kwamba "lengo la somo ni kuboresha mkakati wa kuishi na mwanamke mmoja, badala ya kuongeza mke wa pili ."
Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye mitandao ya kijamii. Tunaomba ruhusa yako kabla kitu chochote hakija pakiwa, sababu wanaweza wakawa wanatumia Cookies na tekinolojia nyingine. Unaweza ukasoma sera sera ya kutumia cookies katika mitandao ya kijamii kabla ya kukubali. Kutazama maudhui haya chagua accept and continue
Mwisho wa X ujumbe, 4

Mwisho wa X ujumbe, 5
Wengine walitoa wito wa kusitishwa kwa shuguli za kikundi hicho na wahusika waadhibiwe
Mkala hii imebeba madhui yaliyotoka kwenye mitandao ya kijamii. Tunaomba ruhusa yako kabla kitu chochote hakija pakiwa, sababu wanaweza wakawa wanatumia Cookies na tekinolojia nyingine. Unaweza ukasoma sera sera ya kutumia cookies katika mitandao ya kijamii kabla ya kukubali. Kutazama maudhui haya chagua accept and continue
Mwisho wa X ujumbe, 6
Waandalizi walisemaje
Kufuatia mjadala mkali na kutangazwa kwa mafunzo, kikundi hicho kilitangaza kufuta somo hilo na kuagiza kufutwa kwa matangazo ya mafundisho hayo yaliyokuwa yamewekwa kwenye mitandao ya kijamii.
Katiak taarifa iliyotolewa na gazeti la Al Watan, mkurugenzi wa Al-Bir na Ar-Ras Fahd Al-Sardah, alisema kuwa lilikuwa ni kosa lililofanywa na mfanyakazi mpya na wamefuta kabisa somo hilo na wameagiza kufuta matangazo yote na kuyafuta of the adya kunadi somo hilo kwenye mitandao yote ya kijamii.