Zanzibar: Ala ya muziki kwa jina Canoon iliyobeba urithi wa visiwa hivi

Iliyochapishwa

Canoon ni ala mashuhuri katika muziki wa asili visiwani Zanzibar, chombo ambacho kimebeba historia ya visiwa hivyo kutawaliwa na waarabu

Maulid Mkadam amepiga chombo hiki toka mwaka 1983 na anafurahi kuona kwamba vijana nao wamejifunza kupiga chombo hiki kwani ni urithi wa visiwa hivyo

Eagan Salla alikuwa viswani Zanzibar hivi karibuni na hii ni taarifa yake