Utafiti: ‘Kihisio’ kwenye ubongo kinachosababisha urefu wa binadamu chagunduliwa

Maelezo ya sauti, ‘Kihisio’ kwenye ubongo kinachosababisha urefu wa binadamu, kwa mujibu wa utafiti
Iliyochapishwa

Mara kibao watu huskika saana wakisema aah natamani saana kuwa mrefu au napenda saana mtu mwenye kimo kirefu.

Sasa Wanasayansi wanasema kwamba fumbo la wanadamu kuwa warefu na kufikia balehe mapema kuliko zamani sasa linaweza kubainishwa kwa kihisio 'sensor' iliyopo kwenye ubongo wa mwanadamu.