Masoud Kipanya: “Mimi simchori Rais nachora urais”

Maelezo ya video, Masoud Kipanya: “Mimi simchori Rais nachora urais”
Iliyochapishwa

Katika Nyota wa Afrika Mashariki wiki hii tumezungumza na Masoud Kipanya ambaye ni mchoraji maarufu wa katuni nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla, anasema hachori katuni kwa sababu anamchukia mtu.

Mwandishi wa BBC Lulu Sanga amezungumza nae kuhusiana na masaibu mbali mbali wanayokabiliana nayo wachora katuni kutokana na kazi zao.